Vannesa Mdee kumsapoti Lady jaydee na ujio wake mpya


Jamani Magufuli keshatuambia na kutuonyesha..short cut hailipi..... Inaweza kukulipa in a short term: lakini kwa long term haina maslahi. Fuata utaratibu/sheria utafanikiwa. Zama hizi za Magufuli ujanja ujanja haufai.
 
Jide big up kwake. ..hii ndi ndi ndi kaonyesha utu uzima dawa
 
Jamani Magufuli keshatuambia na kutuonyesha..short cut hailipi..... Inaweza kukulipa in a short term: lakini kwa long term haina maslahi. Fuata utaratibu/sheria utafanikiwa. Zama hizi za Magufuli ujanja ujanja haufai.
Ivi unajua mpaka kesho watu wanaiba pale bandari,unajua wanabadilisha meza za bunge kwa 1.9B,unajua watu hawalipi kodi kama juzi tu unajua cheo cha Chenge wewe,umesikia Makonda ni RC wa Dar una taarifa sukari wamegoma kushusha bei kwa kifupi short cut zipo na zitaendelea kuwepo kama uyo JPM anavyokodoa macho Znz wakifanya uchaguzi batili watu wanamdanganya hadi muumba itakua uyo JPM.
 
Vanesa ni msanii pekee huru na anayejiamini. Nadhani hii inachangiwa na elimu na exposure aliyonayo.

Wasanii wengi wa bongo ni waoga sana. Wengi wanajipendekeza kwa akina Tale na Fella wakidhani kwamba bila wao hawawezi kutoboa. Wasanii wanaotoa nyimbo kutoka kwenye hiyo manajiment wanapewa support kibao na wasanii wengi instagram na mitandao mingine tofauti. Lakini wasanii wasiotoka kwenye hizo management ni nadra sana kupewa support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…