Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
🤣Refarii Arajiga ataizima hiyo mpaka amalize ghorofa lake Chanika.
Je waamuzi wakiwa km waliokuwa wakiuchunguza mchezo wa yanga vs mamelody yaani wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsiAfisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na Majaliwa Stadium.
View attachment 3009842
Nyie nao mnaboaaa! Makolo mmejaa nongwa , Arajiga hana baya, Kigoma mlishinda alipomtoa Mukoko alielipiza rafu ya mgongoni ya Boko, mbona mlipiga kimya hamkulalamika , basi Yanga kuibutua Azam kule Zenji na kubeba Kombe jingine mmeumiiiaaaa, na hasira zenu zote sasa kwa Arajiga!!Refarii Arajiga ataizima hiyo mpaka amalize ghorofa lake Chanika.
Karia bana, Mkwakwani nao uwanja ule. Kule Ruangwa ni kujipendekeza tu kwa wanasiasa.Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na Majaliwa Stadium.
View attachment 3009842
Tatu Malogo dah.Ni jambo zuri. Ila na wale waamuzi wao vilaza wote ikiwezekana waachane nao. Maana wanatuharibia soka kupitia maamuzi yao ya kutatanisha.
Mpaka leo hatuoni VARAfisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.