Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hususani kipindi kile cha unbeaten ya mchongoHili wazo Mwigulu alikuwa kiongozi wake but alivyoona utopolo wanafaidi kwa kubebwa na waamuzi akaamua kufunga mdomo wake.
Kwa USHABIKI wa WAAMUZI wetu kwa Timu fulani fulani Mbona hata VAR watazichezesha zitoe matokeo WayatakayoNote [emoji404]
“Tutaweka chumba maalum cha Video za Marejeo (VAR) kitakachotumika wakati wote wa mashindano” sehemu ya maneno ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chanda akizungumzia ukarabati wa dimba la Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam.
#BenjaminMkapa #WizaraYaSanaa
View attachment 2560759