mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
We kweli kambuzi kafwatilie mashindano ya ulaya uangalie waamuzi wanaochezesh mfano tu juzi hapo uefq super cup kaangalie nani kachezeshaNdiyo maana hauwezi kuta mwamzi wa ligi ya epl au vpl akichezesha michuano ya kimataifa KIZEMBE. Tulirithi mpaka ubabaishaji wa baadhi ya mambo toka kwa malkia
Jifunze kwanza sheria za mpira kabla ujaanza kulaumu, mpira ulishikwa kabla ya filimbi ya mwisho ya kumalizia mchezo. Refa hakuona tukio la mpira kushikwa wataalamu wa VAR wakamtaarifu tendo la mpira kushikwa ndani ya eneo la 18 kabla ya refa kumalizia mchezo, refa akaenda kujiridhisha na kuamuru pigo la penati. VAR ipo kwa akili ya kuondoa utata kama ule.VAR imekuwa kituko Leo nchini England baada ya kutoa penalty baada ya kipenga cha mwisho, wakati Brighton and Hoves walipowaalika Man United.
Hivi vituko vya marefa vipo nchi 3 tuu,Vpl ya Tz (kambuzi na wenzake), Absa Primer League na EPL tu
Hongera man U kwa kubebwa.
Uwe unasoma na kuelewa kabla haujajibu chochote, nimesema hauwezi kuwakuta KIZEMBE sijasema hawapo kabisa. Wapo ila wachache ukilinganisha na umaarufu wa nchi yao au ligi yao.We kweli kambuzi kafwatilie mashindano ya ulaya uangalie waamuzi wanaochezesh mfano tu juzi hapo uefq super cup kaangalie nani kachezesha
Ni kweli aisee,hizi nchi zna kosa uprofessionalNdiyo maana hauwezi kuta mwamzi wa ligi ya epl au vpl akichezesha michuano ya kimataifa KIZEMBE. Tulirithi mpaka ubabaishaji wa baadhi ya mambo toka kwa malkia
Kaangalie waliochezesha fainali za uefa 2015 euro 2016 world cup 2010 ni kina nani achana na maneno ya kibanda umiza wewe kambuziUwe unasoma na kuelewa kabla haujajibu chochote, nimesema hauwezi kuwakuta KIZEMBE sijasema hawapo kabisa. Wapo ila wachache ukilinganisha na umaarufu wa nchi yao au ligi yao.
Unasemaje na lile goli la chelsea la 3. Ktk build up mtu alinawa ile crossJifunze kwanza sheria za mpira kabla ujaanza kulaumu, mpira ulishikwa kabla ya filimbi ya mwisho ya kumalizia mchezo. Refa hakuona tukio la mpira kushikwa wataalamu wa VAR wakamtaarifu tendo la mpira kushikwa ndani ya eneo la 18 kabla ya refa kumalizia mchezo, refa akaenda kujiridhisha na kuamuru pigo la penati. VAR ipo kwa akili ya kuondoa utata kama ule.