JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wangeenda qatar ndio wangeiba hatariNa bora hawakupita
419 kama kawa kama dawaHii ndio afurika ninayoijua mimi..!!
Kingole kwa wanangu wa abuja, hatujawahi feli tukiwa na jambo letu
Ataitumiaje Sasa?Hii muhuni utakuta kaipeleka ghetto kwake
Wapopo noma
Akipiga Bao la nje Kwa demu wake..kama dem akibisha wanaangalia VARAtaitumiaje Sasa?
Hahaha,umetisha mkuuAkipiga Bao la nje Kwa demu wake..kama dem akibisha wanaangalia VAR