Chenu ambacho kipo kama cha mkaanga chips kiko wapi??Mwanzo mgumu jamani [emoji23][emoji23][emoji23] VAR ya refa utadhani kibanda cha tigo pesa
wametisha sana yanHahahah jamaa wametisha. Huu ni uthubutu. Hongereni Kenya.
Daah mzee, c ndo mana nkasema mwanzo mgumuChenu ambacho kipo kama cha mkaanga chips kiko wapi??
Wamejitahidi wapongezwe
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app