astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepekiPonapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi.
Hata hivyo kaweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kusaidiwa na VARBila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo!
Kuna mkono wa H.Polepole hapo kama sivyo angepigwa redcard...
Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepeki
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie machaliiiPonapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi.