Rugambwa Joseph
New Member
- Oct 1, 2024
- 2
- 0
Kwa ambaye amefanikiwa kuomba hizi leseni TCRA na kufanikiwa kupata ama anayefahamu taratibu za kuzipata naomba muongozo hapa ama mawasiliano yake anielekeze kitu, nitamfidia muda wake.
Asante
Asante