MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 187
..safu ya viongozi kwenda kuaga msafara, kisha safu ya viongozi kwenda kupokea msafara!
...hili liinchi linazalisha nini cha kutufanya tuweze kutumbua namna hii hizi pesa za kujiombeleza kila kukicha?!!
Mimi mwenyewe sizifahamu hizo protocal, lakini nauliza kwa kufikirika ulidhani safu ya kumsindikiza raisi iwaje! kwa muono wako wewe!
...Hakiyanani tena hii misafara ya Rais wetu, haswa hizi protocol zilizopitwa na wakati zinauzi mpaka basi tu... i get so angry i wish the whole gadayym thing could just blow up into ashes tujue moja.
...halafu hicho kindege wamekifanya kama AirforceONE! kinaparamia kila bara kila nchi utafikiri ni cha nchi inayozalisha mafuta!
Ni uvumbuzi tu kwa kwenda mbele!! Mwache akakae mbali lile kombora la kwenye ze-utamu litakuwa limemchefua sana. Da gama bwana!!!
naomba mwenye itenary yake ya safari mpaka desemba...
I know, halafu angalau basi angekuwa anasafiri mwenyewe, lakini ki Air Bajaji wanaki overload utafikiri pantoni la Kigamboni. Kikipotelea vichakani siku moja tunasema oooh kimetunguliwa na makaburu. Mola pishia mbali.
Na mimi nina hasira na hii misafara ya kwenda kumpokea Rais. Hivi ni kwa nini wanadhani ni muhimu kumpokea?
Karibia theluthi moja ya bajeti yetu ni misaada, lakini kama wangekata gharama kama hizi za kwenda kuagana na kupokeana, kwani tusingeweza kujitegemea kweli?