Vasectomy, upasuaji mdogo kwa wanaume

bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,961
Reaction score
3,466
Vasectomy ni oparesheni ndogo inayofanywa kwa mwanaume kama njia ya kupanga uzazi. Mshipa maalum(vasa deferentia) wa kusafirisha mbegu za kiume(sperms) kutoka kwenye pumbu hukatwa na kufungwa.

Kwa hiyo mbegu zinazalishwa, lakini hazitoki. Utafiti uliofanywa Marekani umethibitisha kuwa wanaume waliohanithiwa kwa njia hii wako kwenye hatari kubwa zaidi kupata saratani ya pumbu(testicular cancer)

Ni hatari mbegu za kiume(sperms) zikizalishwa zinatakiwa zitoke.
 
Vasectomy ndo mpango mzima.

Hivi nao ni mahanithi? Mbona wanapiga mashine mwanzo mwisho?

Athari za vasectomy ni ndogo ukilinganisha na njia zingine za uzazi wa mpango kwa akina mama

Kama unampenda, utamlinda.
 
Ni udanganyifu kuwa shahawa hazitoki. Shahawa zinatoka isipokuwa zinakuwa hazina mbegu za kuzalisha.
 
kuna njia ya uzazi wa mpango ni salama kweli?
 
kuna njia ya uzazi wa mpango ni salama kweli?
ipo salama kabisa,kutoa uume nnje wakati wa kumwaga,kutumia karenda ,ila hapa uwe na akili ,uwezo kutumia njia hiyo ni njia salama na haina madhara
 
Vasectomy ndo mpango mzima.

Hivi nao ni mahanithi? Mbona wanapiga mashine mwanzo mwisho?

Athari za vasectomy ni ndogo ukilinganisha na njia zingine za uzazi wa mpango kwa akina mama

Kama unampenda, utamlinda.

Very safe lakini hebu jaribu kusuggest vasectomy kwa mtu, hata wale wasomi wenye uelewa mkubwa wa kupambanua mambo hawakubali kabisa.
 
Kuna siku niliandika mahali, 'mila na tamaduni' ni ubombo aka bone marrow, elimu ni vinyweleo.

Mtu aliyekulia kwenye mfumo dume (ikijumuisha, kupanga uzazi ni mambo ya wanawake), hata asome vipi hiyo kitu haiwezi kumtoka ndani ya siku 2.

Inahitaji uzoefu wa jambo baya ama kujamiiana na tamaduni zingine kwa kipindi kirefu kujua hili ni suala la pamoja kati ya mke na mme. Kuna wanaume, piga ua haruhusu mkewe kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa, lakini unaweza kukuta mke alishapata kuharibikiwa mimba ndio akagundua hilo.

Kwa hiyo, kuamka tu over a night na kumwambia mwanamme huku kwetu afanye aidha utaambiwa unatafuta 'shingira-ingredients za kichawi' ana umepatwa na mapepo. Ni jambo la kujadiliana, ikibidi kuhudhuria vipindi vya ushauri nasaha vya uzazi pamoja.

Pamoja na hayo, vasectomy nayo ina madhara kwa akina baba, kama kansa kama haikufanyika vizuri, msongo wa mawazo au mzio wa muda mrefu. Na pia isipofanyika vizuri inaweza isiwe effective, mbegu za mahindi zikazaliwa na uchavushaji ukafanyika kama kawaida.

Hili jambo la mmoja kujitolea kuchukua jukumu hili sio rahisi kivile, lazima apitie kashkash, ndo maana ni bora kugawana wote 2, kila mmoja acheze sehemu yake, safe days au ndomu.

Very safe lakini hebu jaribu kusuggest vasectomy kwa mtu, hata wale wasomi wenye uelewa mkubwa wa kupambanua mambo hawakubali kabisa.
 
Vasectomy ndo mpango mzima.

Hivi nao ni mahanithi? Mbona wanapiga mashine mwanzo mwisho?

Athari za vasectomy ni ndogo ukilinganisha na njia zingine za uzazi wa mpango kwa akina mama

Kama unampenda, utamlinda.
tatizo hii makitu ni irreversible! Na ukiamua kufanya kweli inabidi muwe mmeshibana hasa na mamsapu.....wengine hawaeleweki unapiga vasectomy halafu anaanza kuku frustrate...hujakaa sawa unasikia "mwanaume gani wewe....kwanza hata hawa watoto sio wako"! agggrrr!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…