VAT on petroleum products

Namwembe

Senior Member
Joined
Dec 13, 2015
Posts
181
Reaction score
155
Nimeona press release ya Kenya Revenue Authority (TRA ya kenya) kuhusu kucharge VAT kwenye bidhaa za mafuta.
Wachumi, wataalam wa biashara hili suala lina effect ipi kwenye uchumi?
Je tunaweza kuadopt hapa kwetu Tanzania.
Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta ndio yanaendesha uchumi wa nchi, kuyawekea VAT tena ni kudidimiza uchumi kwa kuwapa wananchi maisha magumu zaidi.
Maana ukiweka VAT automatically mafuta yatapanda, na yakishapanda wote tunajua nini kitafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…