Online Brigade
Member
- Jun 26, 2012
- 39
- 10
nahitaji kujua njia rahisi (kama ipo) kwa ajiri ya upatikanaji wa hiki kifaa (efd), na VAT registration.
Kwa habari nilizonazo ni kwamba hiki kifaa kinauzwa usd 2000.
1. Kwanza unaenda TRA kufanya VAT Registration ni bure ali mradi biashara yako iwe na turn over ya zaidi ya milioni 40 kwa mwaka.nahitaji kujua njia rahisi (kama ipo) kwa ajiri ya upatikanaji wa hiki kifaa (efd), na VAT registration.
Kwa habari nilizonazo ni kwamba hiki kifaa kinauzwa usd 2000.