Hiyo bei poa mkuu ningekua na mpunga ningeichukua niifanye guest house200m ndio bei poa mkuu?au umeamua tu kutukana watu kisomi?
.. Sema unauza kiwanja bwashee, hakuna nyumba hapo hilo ni boma.Nyumba ina vyumba vinne vikubwa pamoja na master bed rum, sitting room kubwa pamoja na dinning ipo sinza katikat ya vatcan hotel na lion hotel. Ukubwa kiwanja 40×40
Bei 200m maongezi yapo
0784427858 watsap call 0652091881
Karibuni
View attachment 1380672View attachment 1380674View attachment 1380676
Sent using Jamii Forums mobile app
Sinza viwanja vingi no 12x20 au 24 x 20 hicho Cha 40x 40 sijui labda zamani open space