Vatican inamiliki dunia

Consipiracy theories hazitakuja kuisha
 

Mawazo ya ajabu ajabu kama haya huwa yanatoka wapi?
 
Mathayo 7:13-25'' Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

24 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;

25 mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba.
 
Kupitia kalenda hii ya Leo yani Gregorian calender unahuhakika gani JUMAMOSI YANI SATURDAY ni SIKU YA SABA KIBIBLIA yani SABATO????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up mkuu swali zuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndo anamiliki dunia.Usijidanganye mkuu.Utajiri wa kujivuna haumpendezi Mungu.Umenikumbusha kisa cha kijana tajiri. Na yesu alimwambia
Mathayo 19:21
“Kama unapenda kuwa mkamilifu, nenda ukauze mali yako, uwape maskini fedha hiyo, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha njoo unifuate''
Kujivuna kunaendana na ushetani

“Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni, Je! Mungu hakuwachagua maskini wa dunia wawe matajiri wa imani na warithi wa ufalme aliowaahidia wampendao?” (Yakobo 2:5).
 
Sawa SDA
 
Sawa SDA
 
Wasabato mtaisoma namba sana
 
Imani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…