Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,523 Aug 31, 2023 #621 Nantahulila said: Nani alithibitisha mtume kwenda kuchukia swala mbinguni?Tukiamini hii story tuamini na ya Zumaridi kwenda mbinguni. Click to expand... Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda.
Nantahulila said: Nani alithibitisha mtume kwenda kuchukia swala mbinguni?Tukiamini hii story tuamini na ya Zumaridi kwenda mbinguni. Click to expand... Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda.
N Necromancer JF-Expert Member Joined Sep 20, 2018 Posts 3,187 Reaction score 3,138 Sep 2, 2023 #622 Emanueli misalaba said: Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda. Click to expand... Kuna mtu alishuhudia?
Emanueli misalaba said: Mmmmmmmh, mimi si mwislamu ila nahisi itakuwa kuna ukweli ndani yake alienda. Click to expand... Kuna mtu alishuhudia?
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,523 Sep 2, 2023 #623 Nantahulila said: Kuna mtu alishuhudia? Click to expand... Waislamu husema miongoni mwa vitu ambavyo alipewa alipoenda mbinguni ni Swala tano. Nikiangalia namna ambavyo wanatekeleza swala zao kwa bidii na uaminifu ina nisukuma kuamini kwamba alienda mbinguni.
Nantahulila said: Kuna mtu alishuhudia? Click to expand... Waislamu husema miongoni mwa vitu ambavyo alipewa alipoenda mbinguni ni Swala tano. Nikiangalia namna ambavyo wanatekeleza swala zao kwa bidii na uaminifu ina nisukuma kuamini kwamba alienda mbinguni.
Papaaa mukuubwaaa JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 1,534 Reaction score 1,511 Apr 6, 2024 #624 aisee