Vazi la dela lina vyote ustaarabu na uchafu

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
 
Ndo ivo anapona bikra tu
basi kama ni hivyo kuna umalaya mzuri na umalaya mbaya,, tuwaepuke malaya wabaya ili tukomboe Taifa na kizazi kijacho,, wavaa madela myavaage na nguo za ndani sio ukimgusa bahati mbaya wakati mnapishana dukani unakuta ndani mtupu,,
 
🤣🤣🤣🤭
 
Na mengi ni vitambaa vyepesi
 
Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
Kapicha kidogo
FB_IMG_1695900488327.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom