Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
Kwani mashine inafulia maji gani na subun gani?!peleka tu wakafue na mashine
Sabuni ya unga maji bombKwani mashine inafulia maji gani na subun gani?!
maji ya bomba na sabuni ya majiKwani mashine inafulia maji gani na subun gani?!
kama huwezi kujibu kama mwanamke anayejitambua, bora ukatulia tu.peleka tu wakafue na mashine
asante kwa majibu mazuri.ukiweza kupata maji ya mvua ni bomba sana sabuni ya omo ni nzuri lakini hubadilisha rangi jaribu foma.
nadhani wewe ndiyo hujitambui ... hayo mavazi yanashauriwa yafuliwe na mashine kutokana na urembo uliopo kwenye hiyo nguo.. sasa wewe unaomba ushauri unapewa jipo unatoa majibu ya shombo .... haya unayejitambua kafue unavyodhani wewe sasa kulikua na haja gani ya kuja kuuliza hapa ?kama huwezi kujibu kama mwanamke anayejitambua, bora ukatulia tu.
Huyu ulikuwa umtoze hela then ndo umshauri, sijui ilikuaje ukamshauri bure burenadhani wewe ndiyo hujitambui ... hayo mavazi yanashauriwa yafuliwe na mashine kutokana na urembo uliopo kwenye hiyo nguo.. sasa wewe unaomba ushauri unapewa jipo unatoa majibu ya shombo .... haya unayejitambua kafue unavyodhani wewe sasa kulikua na haja gani ya kuja kuuliza hapa ?
huruma yangu tu ameponza wengineHuyu ulikuwa umtoze hela then ndo umshauri, sijui ilikuaje ukamshauri bure bure
Hahaha nakuaminiahuruma yangu tu ameponza wengine
inabidi niwe mhoyo wa mawazo yanguHahaha nakuaminia