Hela za kuweka lesiwigi bado hazijamchanganyia.....Mimi huwa simwelewi na 'twende kilioni' yake! Anyway, we should see how efficient she is
Huyu ni waziri wa habari na michezo alafu ni Dr. si unajua CCM ukiwa Dr. ni dili.
Hapa sasa napata jibu kwa nini wenzetu waislam wanasisitiza kina mama wavae mavazi ya heshima
Ebu angalia afande watatu toka KULIA macho yalivyomtoka.
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.