Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

Mleta mada, ametamani hipsi la muheshimiwa!

Kwa kweli challenge za mwanamke huongezeka na majukumu/vyeo!

Imagine, asubuhi unapoamka unatakiwa uwaze yafuatayo.
1: Nguo za mumeo
2: Lunch box za watoto
3: Meetings, reports, managerial issues etc
4: Upinzani
5: How do you look, na watu watakuonaje!!!!???

Na mwanamume akiamka anasumbuliwa na:
1: Kazi
2: Kazi
3: Kazi
4: Kazi
5: Kazi
 
Niliona hii picha Michuzi nikawa nashangaa; nakuja JF kumbe kuna mkereketwa aliyeliona hilo. Suala si pichu kuonekana ila ni mchanganyiko mzima wa mavazi including kijamba koti. Lol. Sijuhi ubaili au nini? Kuna waziri mwingine wa kiume niliona picha yake amepiga na JK ughaibuni kavaa koti la winter limakaa upande mmoja juu mwingine chini; yani wakienda nje wanapewa outfit allowance afu wanaenda kununua makoti ya open market.Lol.
 
Mimi huwa simwelewi na 'twende kilioni' yake! Anyway, we should see how efficient she is

Mkuu mie naipenda sana hii twende kilioni yake, hayo ya vazi lake nadhani pengine msaidizi wake alisahau kumwambia
 

Nakubaliana nawe mkuu, inawezekana uvaaji huu ni mojawapo ya sifa zilizomsaidia kuwepo hapo alipo, sasa akiacha si atapunguza sifa muhimu ambazo zinaweza kumpunguzia credit? Nani anataka hilo litokee? Nina hakika sio yeye mheshimiwa.

Kwako mheshimiwa, kama uko hapo kwa sababu ya umbo zuri ulilo nalo basi mwanakwetu usiacha, la upo hapo kwa uwezo wako kichwani, mavazi hayo hayakufai kwa hadhi uliyonayo sasa
 

Na mimi niliiona huko michuzi, nikabaki naguna tu kimoyomoyo, kazi kweli kweli!
Ila nadhani kwa wanawake huwa si tatizo!
 
chupi lake linaonekana kama la mtumba vile...yaani namchukulia picha kabisa kichwani....kama lile lidem nililowahi kulilamba kule mwanza, lilikuwa kubwa kama hilihili....miaka ileeee
 
Bado anadhani ni mtoto na utoto ulishampita
 
Amuulize Chizi nguo nzuri zinapatikana wapi.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Inawezekana kabisa Mheshimiwa Dk. Fenelle Mukangara, Mbunge wa Viti Maalumu na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo hiyo nguo anaiona inamtoshea. Kwa mantiki hii ni kuwa hakuivaa makusudi ili amukwaze mtu. Hata hivyo kama anatembelea JF au kama wauni na aidizi wake wanatembelea JF, message sent and received. Ila nampongeza kwa kuwa consistent na msuko wake simple, bomba, na unaovutia wa ukiri wa Rhoda!!!


 
Sioni kama kuna tatizo na hili vazi la waziri.Jamani,kuna mambo mengi ya kufanya na kujadili badala ya kuangalia nani amevaa nini!Yupo huru kuvaa anachotaka ilimradi kimeficha mwili wake.
Watanzania tujadili maendeleo!

  • :clap2:
 

mahaga ni nini?
 
I see waziri ana bonge la mpododo
 
chupi lake linaonekana kama la mtumba vile...yaani namchukulia picha kabisa kichwani....kama lile lidem nililowahi kulilamba kule mwanza, lilikuwa kubwa kama hilihili....miaka ileeee
Hahahaha waziri kavaa lichupi kuubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…