Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Huyu ni waziri wa habari na michezo alafu ni Dr. si unajua CCM ukiwa Dr. ni dili.
Hapa sasa napata jibu kwa nini wenzetu waislam wanasisitiza kina mama wavae mavazi ya heshima
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
Duh..! Ila tuache utani jamani, mdada kapendeza... Natamani ani-PM, sijui huwa anaingiaga hapa jamvini...!? Kuku wa kienyeji huyo bwana, NO COMPLICATION...! Hebu cheki smiling yake, aaah..!hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?
Yaani
waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele
ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo?
Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu
waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura
hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana
na rais.
Kisketi kimebana, lakini vazi lake bado ni bora kuliko vile vishati vya mawaziri vinavyoonyesha manyoya ya kifua.
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
CHADEMA heshima yenu ndogo sana.
Mbona Halima Mdee anavaa kiajabu ajabu mpaka anawasaga wenzake anawapeleka mpaka Saloon,
Mbona hamuweki picha zake hapa?
Hii hapa...CHADEMA heshima yenu ndogo sana.
Mbona Halima Mdee anavaa kiajabu ajabu mpaka anawasaga wenzake anawapeleka mpaka Saloon,
Mbona hamuweki picha zake hapa?
Huyu hapa, lete comments zako..CHADEMA heshima yenu ndogo sana.