Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow! Do people still dress like this nowadays? This is not attractive at all.:A S 13:
Ha ha ha! sasa hapo mshindi ni mwenye tumbo kubwa zaidi au?
hakuna ubaya wowote kuvaa nguo kama hii akiwa chumbani na mpenzie na jamaa akilichezea tumbo na wote wakiongea na mtoto wao.
Yaani hii design inahakikisha mama mjamzito anapata hewa wakati wote bila kubanwabanwa!