Mshahara
Member
- May 23, 2018
- 21
- 15
VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa.
Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana?
Hamlipi Watumishi waliochini yenu ila mnajipendelea wenyewe.
Kama pesa hakuna zimeenda wapi?
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa wahusika.