Haribu kutaf watu ufike mbali,VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa.
Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana?
Hamlipi Watumishi waliochini yenu ila mnajipendelea wenyewe.
Kama pesa hakuna zimeenda wapi?
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa wahusika.
Hawawezi kuona alitakiwa kuwafuata kwenye ofisi zao.Wataona huku kweli
Hakika, huko anaogopa kutumbuliwa!Hawawezi kuona alitakiwa kuwafuata kwenye ofisi zao.
MuogaHakika, huko anaogopa kutumbuliwa!
Pole sanaHali ya kutokulipwa watumishi ni kila mahali,kuna watu hatujalipwa pesa ya likizo mwezi Juni hadi leo na hakuna kinachoendelea na unaambiwa pesa ilishatolewa
Sisi tunawaona huko UDSM mnafaidi maisha katika sekta ya elimu tofauti na walimu wa shule ya msingi. Kwahiyo ni TRA ndio wanakula maisha peke yao?VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa.
Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana?
Hamlipi Watumishi waliochini yenu ila mnajipendelea wenyewe.
Kama pesa hakuna zimeenda wapi?
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa wahusika.
Kuna mashirika yakitangaza zabuni , wazabuni wanayakimbia siku hizi. Hali ni chafuUDSM hali imeyumba sio kwa watumishi tu. Hata wazabuni hali ni tete. Hawana pesa kabisa.