VC wa UDSM, Prof. Anangisye ameachana na ukapera

VC wa UDSM, Prof. Anangisye ameachana na ukapera

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Ni VC wa UDSM. Inaelezwa kuwa ameachana na ubachela na mke wake ni mwalimu wa LT pale Duce.

Kila la heri kwao.

NB: Vitu hivi havina uzee. Wazee wengine tumieni fursa hii ya Corona maana hakuna gharama ya sherehe.
IMG-20200503-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu umenikosea adabu kabisa yaani na urijali huu nimpe nyungu mwanaume mwenzangu tena mzee tena anayeishi dar!
Pole sana Mkuu, nisaheme bure. Hebu sasa ONDOA SINTOFAHAMU hiyo, kuhusiana na kutoiweza kwake kazi ulikosema. Maneno tata hayo Mkuu wa Kikosi.
 
Nadhani kaoa mtu wa kumsaidia kupika tu.
 
Back
Top Bottom