Kaoa kweli ila kazi haiwezi, inabidi atafute kijana awe anamsaidia kupiga nyungu
Wazee wengine tumieni fursa hii ya Corona maana hakuna gharama ya sherehe.
Dah mkuu umenikosea adabu kabisa yaani na urijali huu nimpe nyungu mwanaume mwenzangu tena mzee tena anayeishi dar!
Haaa haaa haaa mkuu nilikua nasisitiza sina maana hiyo uliyohisi weweDah kwa hiyo mkuu ni bora umpe wa mkoani sina maana ya kukuvunjia heshima ila nimeuliza swali kutokana na maelezo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe!Kaoa kweli ila kazi haiwezi, inabidi atafute kijana awe anamsaidia kupiga nyungu
Ulimpatia kazi akashindwa kuifanya??? au ni tetesi na umbea tu unakusumbuaKaoa kweli ila kazi haiwezi, inabidi atafute kijana awe anamsaidia kupiga nyungu
Pole sana Mkuu. Ulivyompa haikusimama kabisa au alishindwa kukukojoza?Kaoa kweli ila kazi haiwezi, inabidi atafute kijana awe anamsaidia kupiga nyungu
Watu mna maneno aiseeNadhani kaoa mtu wa kumsaidia kupika tu.
Mbona mmeirudisha kuna niniHongera sana kwao
Ng'ombe mzee hazeeki maini!Kazi kaomba mwenyewe na ataifanya mwenyewe!.Kaoa kweli ila kazi haiwezi, inabidi atafute kijana awe anamsaidia kupiga nyungu
Make a story short mkuu,alioa ila wakaachana. Long story
1996 alienda Uingereza kufanya Phd au kazi nadhani sina uhakika sana, sasa alienda na shemeji, ulipofika muda wa kurudi shemeji alishakua na kazi huko pia ,akagoma...nadhani aliolewa huko tenaMake a story short mkuu,
Dah,,1996 alienda Uingereza kufanya Phd au kazi nadhani sina uhakika sana, sasa alienda na shemeji, ulipofika muda wa kurudi shemeji alishakua na kazi huko pia ,akagoma...nadhani aliolewa huko tena