W WAPOMA JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 689 Reaction score 175 Apr 24, 2015 #1 Serikali imeishiwa vipimo hivyo. VCT ya hapo (Hindu Mandal Hospital) ni Tsh. 10,000/=. Na Pregnancy test (Kipimo cha Ujauzito) nayo ni hivyo hivyo!
Serikali imeishiwa vipimo hivyo. VCT ya hapo (Hindu Mandal Hospital) ni Tsh. 10,000/=. Na Pregnancy test (Kipimo cha Ujauzito) nayo ni hivyo hivyo!
Mzee wa kurekebisha Senior Member Joined Sep 29, 2012 Posts 178 Reaction score 169 Apr 24, 2015 #2 Hata ikiwa Bure tu mshikemshike seuze hiyo 10,000.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Apr 24, 2015 #3 Hindu Mandal kwani lazima kupima hapo? Nenda Mnazi Mmoja bureee!
Kijana leo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,861 Reaction score 810 Apr 24, 2015 #4 mhh vipimo gani hivyo? unigold au reagent hivi vya kawaida? mbona mimi ninavyo najipimaga na nikipata goma jipya.
mhh vipimo gani hivyo? unigold au reagent hivi vya kawaida? mbona mimi ninavyo najipimaga na nikipata goma jipya.
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,419 Apr 24, 2015 #5 Thts a private hospital. ..u knw wt I mean...