INAUZWA Vefd kutoa risiti kwa simu zinapatikana hapa

INAUZWA Vefd kutoa risiti kwa simu zinapatikana hapa

Esokoni

Senior Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
100
Reaction score
122
PUNGUZO LA BEI.

Tunapenda kukujulisha kuwa katika kufunga mwaka, sasa utapata VFD kwa 250,000 tu. VFD ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi popote pale ulipo.

Faida zake.
  • Znakubalika 100% na TRA.
  • Zinatoa risiti za VAT na zisizo VAT.
  • Zinafaa kuanzia wafanyabiashara wa kawaida na makampuni makubwa.
  • Unaweza kutoa Softcopy na Hardcopy.
  • Unaweza kutumia popote hata kama hauna BANDO.
  • Inatunza kumbu kumbu ya wateja, risiti na bidhaa unazouza.
  • Mashine ni za kucharg hivyo haziishi charg haraka.
  • Inatuma taarifa zote automatically ikiwemo Z-report.
  • Ni salama sana katika utumia na kuzuia utoaji wa risiti kiholela.

Wasiliana nasi 0753688348
Screenshot_20241109-074505_Gallery.jpg
 
Bei ghali sana, web wanauza 60k, printer 90k, kitonga package
 
Bei ghali sana, web wanauza 60k, printer 90k, kitonga package
Ni soko huria mkuu unaweza kucheki na Hao, Hata sisi tunawajua na pia zipo zingine unapata Bure mkuu unanunua printer tu safi.
 
Back
Top Bottom