Vegeta Croatia wafungua kiwanda Tanzania

kiwanda cha nini kabla sijafungua link yako?...
 
Habari kama hizi zikitangazwa Kenya kuna yule jamaa anaitwa Mwanzi1 huja na kauli za eti kwanini turuhusu makampuni ya nje kuja kufungua makampuni wakati wazawa wapo, eti kwamba hao watafyonza nchi na kwenda zao.
 
Nita miss sana viungo vyao vya aina mbalimbali za mbogo na nyama za aina mbalimbali
 
Safi sana.

This is a endorsement of Tanzania huge agricultural potential.
 
😱 ati 4m na employment ya 20peopleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,mibongo ni vituko.
 
Habari kama hizi zikitangazwa Kenya kuna yule jamaa anaitwa Mwanzi1 huja na kauli za eti kwanini turuhusu makampuni ya nje kuja kufungua makampuni wakati wazawa wapo, eti kwamba hao watafyonza nchi na kwenda zao.
HANA AKILI HUYO
 
😱 ati 4m na employment ya 20peopleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,mibongo ni vituko.

What matters is that ..unemployed 20 people now are employed and that can improve life of even 100 people in the families
 
Habari kama hizi zikitangazwa Kenya kuna yule jamaa anaitwa Mwanzi1 huja na kauli za eti kwanini turuhusu makampuni ya nje kuja kufungua makampuni wakati wazawa wapo, eti kwamba hao watafyonza nchi na kwenda zao.
HANA AKILI HUYO
Nasisitiza tena sio kila kitu lazima mgonje wazungu wawaletee mikononi mwenu mkifikiri eti wanakuja kuendeleza uchumi wenu. Hakuna mtu mwenye uchungu na uchumi wako kama wewe mwenyewe. Usipo jijenga mwenyewe kwanza, usishangae wageni wakija kujitajirisha kwa mgongo wako.(kama Kenya mlivyojazana Tanzania). Anaetaka kuja kufunguwa biashara ruksa aje, lakini lazima akutane wazalendo ambao na wao wanauwezo wa kufanya kama hicho mgeni anafanya. Ndio philosophy ya JPM na inakwenda vizuri tu japo Wakenya mnaichukia.
 
Hamnaa, FDI za MNC zikija kweu unashabikia, lakini kwa jirani unaanza kuandika riwaya za alfu ulela, sisi tutaendelea kuongoza maana tumewekeza kwenye favorable conditions na pia nguvu kazi ambayo haiwapi tabu MNC.
 
FDI sio hizi za pesa mbili, ukiniambua FDI za kuchimba mafuta au gesi au kujenga dam ya umeme kitu ambacho hela ya local haitoshi nitakuelwa. Lakini FDI sijuwi ya kiwanda cha pipi au google kafunguwa ofisi, mara sijuwi Uber kaleta hiki.... ni jambo la kuchekwa sana maana hata wewe ukienda KCB with forward looking business plan watakuelewa na kukukopesha. Cha kushangaza hamjiulizi hao wazungu nani aliwawezesha kufika hapo walipo fika sasa kama sio jitihada zao wenyewe? Badala ya kutumia akili za hapa Afrika mnataka kucopy kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…