Vehicle GPS trackers

Vehicle GPS trackers

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habarin wana jamii forum naomben kujua ni wapi naw3za pata huduma ya kutrack gar au bajaj yangu kwa kufunga mitambo ktk bajaj na kuweka app kwenye simu yangu ili niweze kutrack chombo hicho

Natanguliza shukran za dhati
 
Habari kaka, Una vyombo vingapi???

Hizi huduma zipo kwa namna mbili.

1. Kukodishiwa kifaa na utalipia monthly
2. Ni kununua na kikawa chako. (Hakuna huduma za kulipia kila mwezi)

Najitolea kukufanyia Consultation kwani nina uzoefu mkubwa sana wa Kufunga, kufuatilia na kufanyia service.
 
Kununua kabisa ni bei gani??
 
Mzee kuna taasisi inkopesha magar nao wanaweka GPRS naomba ufafanuz inakuaje

Namna gan wanatrak!?

Je ni location au mpk wanaona kbsa!?
 
Yes Platnam wanafanya hivyo. Ni location based. ili iwe rahisi kukudaka kioindi muda wa mkopo umekwisha na ww umeptelea kusikojulikana licha ya wai kuwa na kadi yako
 
Back
Top Bottom