Vela de amor: When the smoke of love start fading in the Dark

Vela de amor: When the smoke of love start fading in the Dark

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
1602886546055.png

Mate

Kuna tabia baadhi ya watu waume kwa wanawake wamekua wakisema kwamba wao kwao kupendwa au kupend sio kitu cha muhimu hapa duniani, wengine hufika mbali zaidi na kusema kwamba nilizaliwa peke yangu nitakufa peke yangu, love me or hate me I don’t care and some other blah blah blah. Lakini ukweli ni kwamba kati yay ale mahitaji matatu makuu ya mwanadamu ambayo ni chakula,nguo na malazi pia Upendo ni hitaji muhimu katika maishaa ya mwanadamu. By default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz it’s a law of nature and you can’t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.
Hata mtu awe gaidi kivipi au katili kiasi gani kunakuaga yupo mtu mmoja au zaidi ambao anawapenda na kuwajali, kwasababu ili maisha ya mtu mmoja mmoja yalete maana halisi ya kuitwa maisha lazima wawepo watu ambao anawajali na kuwapenda ndio maana ili uitwe mwanume kamili lazima uwe na familia ambayo unaipenda na kuihudumia… mwanaume kamili anajiona na kuuFeel uanaume wake pale anapoweza kuhudumia nakujali familia yake na ndugu zake. Why this? Its just because everyone need to belong to someone, everyone need to have someone who she/he care for. Hakuna mtu ambaye hana watu anayewapenda hata awe mjanja vipi lakini lazima awepo hata mmoja akisikia kapata shida Fulani lazima ahofu kuhusu mtu huyo. Maisha unayasikia utamu wake ukiwa na watu unaoBelong kwao, unawapenda either kimapenzi au ki-Agape. Hakuna mjanja katika hili maishani kila mtu anaihitaji mapenzi na upendo iwe ni kupendwa au kupenda.

huko juu tumeona kwamba mapenzi ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu lakini sasa katika hali ya kushangaza kabisa LOVE IS FATE, yaani namaanisha sio kila mtu yupo endowed with love. Wapo wachache tu ndio wenye bahati hiyo ila wengi hawayapati mapenzi hayo ambayo ni muhimu kwa maisha yao. Watu wamebarikiwa uzuri wa sura na umbo, roho safi na LOYALTY ya kiwabgu cha hali ya juu lakini hawapati mapenzi/upendo kama wanavyotakiwa kupata, pengine hawapati kabisa. Hapo sasa ndio mtu anaanza kujiuliza shida nini wakati kila kitu anacho ila upendo wa kweli hapati. Its sjust a simple spell, love is fate. Kama fate yako sio kupata mapenzi huwezi pata mapenzi hata ufanyaje utaishia kuroga na kuhonga sana ila utaishia kuyakosa. Ive just realize that some people are born to get all the love in the world and the rest of us we get nothing!! Je hii ndio fate yao? Kwamba tuwe wasindikizaji?why don’t we worth it? How to worth it?

Look! Watu wapo wengi wamejaliwa upendo wa kweli na uaminifu mkubwa but hawapati mapenzi yale yanayolingana na thamani ya penzi walilonalo..maisha yao yote wanaishia kulia na kuteswa na mapenzi..maisha ni kitu cha ajabu vitu vizuri vizuri hua wanapata wale wasiostahili kuvipata maana hawajaui thamani ya vitu hvyo ila wale wanaostahili kupata vitu vizuri kama wao wanaojua kuthamini vitu vizuri hawavipati. Wanabaki katika dimbwi la upweke na majonzi kwa kupata yale wasiyo stahili pengine hawapati kabisa.

Nddugu tambau kwamba upendo ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu lakini pia jua love I fate sio kila mmoja anaweza kupata upendo ule anaohitaji ama naufikiria kuupata maana hata ukiuupata bado fte itakuwinda na kukunyanganya furaha ya penzi lako. Kama uko fated to be solo and sorrow for the life time jaribu kukubali hiyo hali kwamba ndio hali yako halisi japo inauma. Just stop to be emotional overthings you can’t control, it’s your time to be happy coz everyone deserve happiness.

Yoyote atakayekuja maishani mwako ukaona anakufaa wewe mpokee mpe upendo wako wote ulionao, mpende,mtunze na kumuheshimu kama mtu wa muhimu maishani mwako aliyekua sababu ya fuaraha yako, lakini pia akihitaji kuondoka mtu huyo wala usilazimishe mwache aennde kubali kwamba its fate that decide your fate..kama ni wako wa maisha atakaa nawe kwa hali yoyote kumbaka hatima yako haipo kwa mtu ambae kaondoka maishani mwako, with or without she/heyou can shine more incredibly bright like diamond tossed in the sun rays.

Siku zote hua kuna point of no return, umempenda mtu husikii wala huoni hapo habari za fate wala nini hutakumbuka, utabaki kuvumilia kushikilia senyenge maana ndiko ilipofungwa furaha yako, japo unaumia lakini huwezi kuachia maumivu hayo ambayo yanautamu ndani yake yakuponyeke.Najua I don’t relly deserve you coz you outstanding and outrun me in everything, you deserve something fancy and better..lakini bado sijajiandaa kupisha mtawala mwingine, Yote hayo ni kwakua you found me in broken pathway and you picked up my pieces, ukanionyesha mwanga na tumaini la maisha kwa pendo lako. Kwa muda wote ule uliokua namii na furaha yoote uliyoniletea mpaka kufanya ndoto zangu za kua mtu Fulani better zitimie ni kwasababu ya pendo lako. I’m not fancy guy but I’m good lad with kinda hearted. Nilijiona mjanja na mwenye hadhi popote nilipokua maana ulikua sababu ya furaha,uimara katika maisha yangu. Literaly uliniheshimisha na kunifanya niwe Yule mbaba niliyetakiwa kua. Kweli upendo ni siraha kubwa sana kuliko atomic au nuclear bomb, hawakuwa wajinga waliposema vita bora niile iliyopiganwa kwa maneno na kumalizwa kwa upendo.

-Vinchii
 
you can't buy true love but you can rent it for a while if you have some plenty of money. the choice is yours to rent it or to wait true love. Maana it appears like mapenzi bila pesa ni kutafutana lawama. For today's views
 
you can't buy true love but you can rent it for a while if you have some plenty of money. the choice is yours to rent it or to wait true love. Maana it appears like mapenzi bila pesa ni kutafutana lawama. For today's views

Ni ukweli bila pesa ni kujitaftia maumivu sitaki kusema hasa kwa jinsia fulani zaidi lakini ndivyo uhalisia ulivyo. Ukiwa huna pesa mapenzi yanavurugika mda wowote na hili wahanga ni wengi mno.
 
Andiko nzuri lakini kama kuna baadhi ya vitu kwenye andiko lako vinapingana vyenyewe au labda mimi ndo sijaelewa.

Umesema love is fate,so kuna baadhi ya watu fate yao ni kutopata love,..then unasema they can choose to wait for true love...ushajiaminisha kuwa fate yako ni kutopata love,unasubirije kuipata hiyo love?
 
Andiko nzuri lakini kama kuna baadhi ya vitu kwenye andiko lako vinapingana vyenyewe au labda mimi ndo sijaelewa.

Umesema love is fate,so kuna baadhi ya watu fate yao ni kutopata love,..then unasema they can choose to wait for true love...ushajiaminisha kuwa fate yako ni kutopata love,unasubirije kuipata hiyo love?
Kiongozi nikupe simple tip. Mtu akiwa anakuelezea kitu fulani Jifanye wewe ni mjinga yeye mwelevu au mfaye wewe ni mwelevu yeye ni mjinga ili utambue Uelevu uliojificha katika ujinga wake. Maana kuna watu watakueleza kitu kwa kujifanya wajinga ili kukugicha main content ya maelezo.
Ukitumia hii mbinu utaweza kuExtract kila code iliyofichwa kwenye maelezo ya mtu..Interigators wanaitumia saa.

So, Nimefanya isieleweke kwa kuchanganya lakini naamini maudhui husika baadhi umeyangamua
 
Ni ukweli bila pesa ni kujitaftia maumivu sitaki kusema hasa kwa jinsia fulani zaidi lakini ndivyo uhalisia ulivyo. Ukiwa huna pesa mapenzi yanavurugika mda wowote na hili wahanga ni wengi mno.
sisi tusio na hela awamu hii tunapigwa spana kwelikweli kwenye kila nyanja ya kimaisha.
 
Daah Post yote hiyo haina uhusiano kabisaaa na maisha yangu binafsi. Sijui nilikua nawaza nini nikaona niandike hivo


Binafsi nimechagua huo muondoko wapili sijui wewe..😂
 
Ni ukweli bila pesa ni kujitaftia maumivu sitaki kusema hasa kwa jinsia fulani zaidi lakini ndivyo uhalisia ulivyo. Ukiwa huna pesa mapenzi yanavurugika mda wowote na hili wahanga ni wengi mno.
Tatizo ukiwa na pesa hupati pendo la kweli, hawatavutiwa nawe bali watavutiwa na material yako
 
They said that if you love someone you have to set hime/her free.
But nikuambie kama unampenda mtu usimuacge aondoke..kamwe usimuache. Mpende kwa uwezo wako wote hadi useme yes that's love...Kiss him/her like you won't do it again. Maana life is a gift..tunayo leo kesho hatuko nayo.
Pendaneni muwezavyo msijali nani anawachukulia vipi...Live your life. You're the boss of your life
 
Back
Top Bottom