Airfryer
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 430
- 1,039
Nchi ya Kenya ndio wamevunja rekodi Afrika wanaibiwa kura za uchaguzi na mtu toka Venezuela
Waafrika tulizoea kuibiana sisi kwa sisi, Hawa Kenya mkoloni bado hajaondoka Kenya, Wavenezuela tena hawafiki kumi ndio wanaamua nani awe Rais wa kenya
Uchaguzi wa Kenya haina maana kabisa, Foreigners wa kivenezuela wanaingia kwenye system mpaka siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi bado wana access system
Matokeo ya Rais yanatangazwa wakati baadhi ya majimbo watu hawajui matokeo tena zaidi ya majimbo ishirini na saba, Huu ni ujinga uliopitiliza
Fomu original inayopigiwa kelele mtandaoni bado inatarehe ambayo sio siku ya uchaguzi wa kenya yaani ni forgery mpaka original document
Makarani saini zao na tarehe sio siku ya uchaguzi
Vituko zaidi nchi imeingia mkataba wao wenyewe hawawezi kuona baadhi ya vitu mpaka kibali toka kwa waliowauzia system, Usalama upo wapi wa nchi
Yaani wakenya Mahakama ya upeo inataka data za IEBC system wanaandikiwa barua na Wazungu haiwezekani, Huu ni ujinga na sio uchaguzi