Venezuela: Nicolás Maduro atangazwa Mshindi wa Urais, Upinzani Wapinga

Venezuela: Nicolás Maduro atangazwa Mshindi wa Urais, Upinzani Wapinga

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE), Elvis Amoroso - ambaye ni Mshirika wa karibu wa Maduro amesema kwa 80% ya kura zilizohesabiwa, Rais Maduro alikuwa na 51.20%

Mpinzani wake Mkuu, Edmundo González anatajwa kupata 44.02% ya Kura zote, huku Upinzani ukisema alipata 70% na ndiye Rais Mteule halali

Upinzani wa Venezuela umesema Taarifa ya Baraza la Uchaguzi (CNE) ni ya udanganyifu na kuahidi kupinga matokeo hayo Kisheria

Walisema mgombea wao, Edmundo González, alikuwa ameshinda kwa 70% ya kura na kusisitiza kuwa ndiye rais mteule halali.

Kiongozi wa Upinzani Nchini Venezuela, Maria Corina Machado alisema hesabu za kura walizopokea, pamoja na kura za maoni zilionyesha Mgombea wa Upinzani Edmundo González aliongoza kwa alama zaidi ya 40 ya Rais aliyepo Madarakani

Vyama vya Upinzani vilikuwa vimeungana kuumunga Mkono González katika jaribio la kumuondoa Rais Maduro, aliyedumu kwa miaka 11 Madarakani, tangu alipoingia Mwaka 2013

Wapigakura wengi walisema walitaka mabadiliko baada ya Miaka 25 ambayo Chama Tawala cha PSUV kimekuwa Madarakani

..............

Maduro.jpg

President Nicolás Maduro has won Venezuela's presidential election, according to partial results announced by the electoral council.

The head of the National Electoral Council (CNE), Elvis Amoroso - who is a close ally of Mr Maduro - said that with 80% of ballots counted, President Maduro had 51.20% of the vote, compared to 44.02% for his main rival.

The Venezuelan opposition dismissed the CNE's announcement as fraudulent and promised to challenge the result.

It said its candidate, Edmundo González, had won with 70% of the votes and insisted he was the rightful president-elect.

Reuters Venezuelan opposition leader Maria Corina Machado and opposition presidential candidate Edmundo Gonzalez hold a press conference after the electoral authority announced that Venezuelan President Nicolas Maduro has won a third term, during the presidential election, in Caracas, Venezuela July 29, 2024.Reuters

Opposition leader María Corina Machado said Edmundo González was the rightful president-elect

The opposition said vote tallies it had received, as well as exit polls and quick counts, showed Mr González had a lead of 40 percentage points over the incumbent.

Opposition parties had united behind Mr González in an attempt to unseat President Maduro after 11 years in power.

Opinion polls conducted ahead of the election had suggested Mr González would roundly defeat the president.

Many voters said that they wanted change after 25 years in which the socialist PSUV party has been in power - first under the leadership of the late President Hugo Chávez, and after his death from cancer in 2013, under Nicolás Maduro.

And while there were widespread fears that the government could resort to fraud, the opposition had hoped its lead would be so convincing, it would thwart any attempts by the Maduro administration to "steal the election".

US Secretary of State Antony Blinken was among those expressing his scepticism after the result was announced by the National Electoral Council, a body which is dominated by government loyalists.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom