Kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro maelfu ya wananchi wameyapinga na kuzua vurugu katika jiji la Caracas.
Hasira za umma ziliongezeka baada ya baraza la taifa la uchaguzi CNE Jumatatu kutangaza rasmi kuwa Maduro alichaguliwa tena na wapiga kura wengi kuwa Rais wa muhula mwingine wa miaka sita [2025-2031] akimpita mpinzani wake Edmundo Gonzalez alishindwa uchaguzi wa Urais kwa kupata asilimia 44 ya kura ukilinganisha na aslimia 51 za Nicolas Maduro