Yupo muhimbili hospital.. Ukifika hapo utajua yupo ward gani!..Pole sana kaka Vengu. nilimsikia masanja akisema unaumwa lakini hakusema unaumwa nini na uko hospital gani. Ningejua uliko ningekuja kukuona. Yesu alisema "nilikuwa hospital humkuja kuniona ondokeni siwajui.'' Kama mfuasi wa mafundisho ya Yesu ningejua ulipo Bro ningekuja kukuona. Mungu akujalie Afya tena urudi chuoni na kwenye Original Komed. Tunakumiss sana.
wakati mwingine uwe siriazlabda anaharisha ndio maana anaambiwa anaumwa..
naona kila wiki kwenye origino komedi masanja lazima amalize kwa kusema jamaa anaumwa.
Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaida.