Sidengu wewe hujui dengu???lol!sema jamaa kaitaja kwa kihindi Vengu!!!Vengu ndio nani?
Una maswali kama jina lako,inaelekea hata ufahamu kidogo kwa vitu vidogo dogo huvijui,maswali mengine unajishushia heshima yako...ni ushauri mrembo usijenge chukiVengu ndio nani?
Vengu ndio nani?
Kwa kweli naupongeza uongozi au hatua zilizofanywa kumpeleka huyo kijana India kwa matibabu, lakini roho inauma kuona kwa nini asingeanza Mzee Kipara ukichukulia yeye alianza kuumwa, na kama usanii vyovyote itakavyokuwa Mzee Kipara ametumikia sana jamii kwani tangia enzi za Mchezo wa radio na Radio Tanzania Daressalaam, enzi hizo nikisikia sauti naogopa. Mungu amjaalie Vengu apone arudi kwenye kazi, na amlaze Mzee Kipara pema peponi Amen. Ni maoni tu, hakuna suala la kutoa mapovu.
yeye ndo kampeleka?nampongeza jeikei na uongozi wa muhimbil+o.k