hata mimi ningependa kujua hali yake jamani, ajuaye atujuze please....... inasikitisha kusikia mtu anaumwa muda mrefu na vyombo vya habari havisemi lolote, wanasubiri akifa ndo wanampa kipindi maalum, this is nonsense. Ya Mr. Ebbo ilinisikitisha kujua kuwa aliugua kwa muda mrefu but hakuna chombo cha habari kilichomuongelea wakati wa ugonjwa wake.
Mungu ampe afya njema, apone arudi kazini.