Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Jun 11, 2012 #1 Hv ndugu yetu Vengu wa orijino komedi anaendeleaje?je bado yupo India?mbona hatupewi maendeleo ya afya yake?ningependa kujua kutoka kwa wenye taarifa za ukweli na uhakika,Ahsanteni
Hv ndugu yetu Vengu wa orijino komedi anaendeleaje?je bado yupo India?mbona hatupewi maendeleo ya afya yake?ningependa kujua kutoka kwa wenye taarifa za ukweli na uhakika,Ahsanteni
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,541 Reaction score 2,187 Jun 11, 2012 #2 utamwona tbc alhamis hii, yupo fiti mbaya.