Vengu

Vengu

mpambe

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
133
Reaction score
41
Wakati kikundi cha orijino komedy kikila shavu la udhamini,...naomba kuuliza alipo msanii mwenzao vengu( mzee wa kiraracha)
 
Mmmmmh kweli tumuombee tu huko aliko isije ikawa bado anaumwa kama Mzee wa Kiraracha
 
kwani ni vengu pekeake hakuwepo?mbna na yule mfipa pia hakuwepo?


halafu,kwan vengu alishapona?
 
Back
Top Bottom