typing error hio wataelewa tuVera sindika ndio nani???
Vera sidika buana. Wasiliana na mods warekebishe hiyo heading or else jf hii ninayoijua mimi... Itakuwa vituko tupu.
BTW kumbe alikuwa Na kung'utwa, but she is ass boss b*tch sijui kama ana kazi nyingine
na kweli kwa bongo sijaona mwenye maendeleo kama vera, angalau tunaona matunda ya udangaji wake sio hawa wa kwetu hukuOna wadada wanaojitambua hao, wanatumia papuchi na misambwanda kumake maisha, ila akina gigy na the likes wao wanatumia kununulia Hennessy na kuyabinua vilabuni.
Asee afu unakuta huyu mdada hata sio fundi kama wale madada zetu wa uswekeni.
Jamaa hakuwa Don nini?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mtu mwenyewe anaempiga hata mia hampi, lols
[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu anataka amiliki mtoto mkali kama vera, what do you expect??hakuna cha udon, mdananda tu nyumba anayoishi majanga