Vera Sidika aelezea siri ya mahusiano yake na kaka wa kinaija

Kumbe vera ndo huyo?mavoko alivomtaja kwenye ule wimbo wa show me nilikuwa nafikiria kwenye ule mstari anaimba kilugha
 
Hahahahahahaa itabidi nianze kuwachunguza wanaume wenye midomo ya namna hiyo na ndevu zilizokaa hivyo hehehehe
We wangalie kundi la wasafi. Jux etc wakiwa wanaongea lazma walambelambe midomo, ni ka vile midomo inawakauka, hayo ndo madhara.
 
Tena liulimi wanavyolitoa hua nakereka sana. bora wawe wanalamba kiaina flani ivo mtu asione.
Sidhani kama wanaiweza ile shughuli..wapo legelege mno. Hlf unakuta madem wanawapapatikia. Nashangaa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…