Vera Sidika amvua nguo ex boyfriend wake

Nilicho_NOTE Demu kashfa yake kubwa kwa mwanamme ni kumwambia kwamba ana kibamia na kutoridhishwa na Kashfa ya M/me kwa mwanamke ni kumwambia kwamba K inatema na Kwamba anapenda Ku_AmbaRutiwa.
The fact is, Otile Brown haendani na Vera Sidika. Sasa watu wakawa wanajiambia kwamba kwa kuwa VS ana penda san pesa (inavyosemekana) na OB hana pesa basi VS atakuwa kampendea OB mjulubeng (Dick).
So ili kuweka mambo sawa ndo VS kaamua kuwajibu watu kwa namna hiyo. Kwa io jaman wanaume mkidate na hawa wanawake basi hakikisheni mnapiga mechi za ukweli kwan mnatuwakilisha wanaume wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"You masterbate besides me at night"..
Mmmh kweli hapa mwanaume hakuwa anafanya kaz, Kumkojoza mwanamke sio kazi ndogo...
Tunaweza wachache sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kazi ndogo san sema wanaume wa pande hizo hizo tuhuma wanazo siku nyng kwamb hawawafikishi kunako wake zao. Ndio maana rate ya wanaume kudundwa na wake zao nchini humo ni kubwa.
 
Nikiwa kama mwakilishi wa SDU (Short Dicked United) kanda ya Pwani nasema kwamba memba wetu Otile hana kosa na sisi ndicho tulichoazimia.

Tako tatu wazungu pwaa.

Na tako tatu ni ndani ya sekunde tano hivyo Otile tutampeleka kwenye maabara zetu Lilongwe achunguzwe amewezaje kudumu sekunde kumi.

Ndimi,

Castr Magige.

SLP 231, Kisarawe

K. K.

M/ Kiti wa Wilaya,

Dene Ryakurwa

SLP 231, Kisarawe.
 
watu watamlaumu vera ila mimi namlaumu mwanaume mwenzangu

ukiwa kama mwanaume ukaachana na mwanamke hakikisha humuongelei vibaya mahala popote na ikiwezekana epuka maswali yamuhusuyo huyo ex girlfriend mfano wa celeb anayefanya hivyo ni kingkiba big up for that bruv..

madhara ya mwanaume kuwa na tabia za kike kumuongelea vibaya mwanamke aliyeachana naye ndio haya (kuaibika)

hawa dada zetu wanatuhifadhi sana wanatufichia siri zetu nyingi na madhaifu mengi huku sisi tukijiona vidume... ukitaka kujua madhaifu yako unayofichiwa ww mseme vibaya mwanamke uliyeachana naye uone shughuli

sometimes they make us feel like we a man and ahalf while we are not... they only do it for love... alafu unaachana naye unamsema vibaya public

haya ndiyo madhara unaishia kuaibika..

kumbe mshkaji ana kidudu na sio mdudu wala jidudu kumbe mchizi ni 10 sec typa guy na sio long run typa guy aibu kwake

nitaendelea kuwaheshimu wanawake hata kama nimeachana naye vibaya sitoweza kumsema mahala popote maana najua kitendo cha mimi tu kuvua nguo mbele yake kuna madhaifu yangu ambayo dunia nzima hawayajui ila yeye anayajua
 
Vp hajamalizia tusi lao la mwisho kbs la wanawake mnapoachana anasema "una kibamia" halafu anaongezea na "unapiga tako tatu"
 
Simuamini mwanamke maneno yake pindi akiachana na mwanamme,nakumbuka hata Jlo alimwambia Puffy Daddy naye ana kibamia,hiyo ndio silaha Tosha kwao kumuumiza m/me,wengine wanafikia hadi kumwambia m/me kwamba watoto sio wake 7bu ya hasira tu,unaweza ukamkojoza demu lakini at the end mkikorofisha akakutangazia una kibamia/haumfikishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…