Vericocile: Tatizo linalopelekea mwanaume kupoteza uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito

uru classic

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
120
Reaction score
15
ndugu wanajamvi hili ntatizo lnalopata vjana wanaume pind wafkapo miaka 15-25.tatzo hili linasababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa mishpa ya vena inayopeleka damu ktika korodani.hili tatizo linaweza kusababisha kuharibika kwa korodan na kusababisha ugumba kwa mwanaume.pia kisabishi kingine n kuto vaa nguo itakayo saidia korodani yan chupi *source.kcmc urology department and google.
 
Punyeto; je haipo katika kundi la visababishi vya tatizo hilo?
 
ndugu wanajamvi hili ntatizo lnalopata vjana wanaume pind wafkapo miaka 15-25.tatzo hili linasababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa mishpa ya vena inayopeleka damu ktika korodani.hili tatizo linaweza kusababisha kuharibika kwa korodan na kusababisha ugumba kwa mwanaume.pia kisabishi kingine n kuto vaa nguo itakayo saidia korodani yan chupi *source.kcmc urology department and google.
Hebu fanya ufafanue zaidi...
 
Ndugu, kwanza veins hazipeleki damu kwenye p.umbu, zinatoa damu kutoka huko na kupeleka kwenye mshipa unaorudisha damu moyoni. Hilo la chupi kusaidia korodani, duh! Zinasaidia kufanya nini? Baadhi ya reseach zinaonesha ukivaa nguo za kubana hasa maeneo ya joto unapunguza uwezo wa kutengeneza manii. Sasa sie wa dar unatuambiaje wakati chupi kwetu ni kama historia?
 
ndugu wanajamvi hili ntatizo lnalopata vjana wanaume pind wafkapo miaka 15-25.tatzo hili linasababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa mishpa ya vena inayopeleka damu ktika korodani.hili tatizo linaweza kusababisha kuharibika kwa korodan na kusababisha ugumba kwa mwanaume.pia kisabishi kingine n kuto vaa nguo itakayo saidia korodani yan chupi *source.kcmc urology department and google.

kwani chupi inasaidia nini?
 
Back
Top Bottom