pata td5 series II ya 2005 manual... Tdvc6 bado wabongo wamwshindwa kuitengenezaMambo vipi humu ndani?
Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni bomba?kuendesha Dar na mara chache sana (almost twice per year) kwenda mikoani. nitafurahi kama utainclude usage(fuel), maintenance costs, confortability,reliability,appearance etc! japo waweza pia kunishauri mbadala wake kama ni muhimu, mwenzenu sijui kabisa issue za magari!
Mambo vipi humu ndani?
Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni bomba?kuendesha Dar na mara chache sana (almost twice per year) kwenda mikoani. nitafurahi kama utainclude usage(fuel), maintenance costs, confortability,reliability,appearance etc! japo waweza pia kunishauri mbadala wake kama ni muhimu, mwenzenu sijui kabisa issue za magari![/QUOT
bajeti yako ndio itaamua.kama money no object go for DISCOVERY 3 TDV6........CMC LANDROVER wapo na hizo bado mpya huwezi kupata matatizo ya kiufundi mara kwa mara provided ni low milage.
ila kwa bajeti ndogo go for TD5 series II kama DN alivyosema especially 2003-on models
TD5 II zile za mwanzoni ni nzuri na imara (1998-04). 2.5td engine yake safi sana ile kama una pesa za mafuta basi 4.0cc v8 itakufaa.
Freelander za zamani (kabla ya 2004) ni bomu..engine zake ni karatasi ..utabadilisha head gasket mpaka utachoka (hii ni 1.8cc engine)-watu wanafunga engine za Rav4..
Za baada ya 2004 zina BMW engine na ni nzuri sana.
thanks mkuu well sina hela za mafuta kihivyo kuchukua gari inanyonya kama jini, but naona wengi mumeshauri td5 usage yake ktk fuel ikoje? pia spare zake bongo hazisumbui au gharama za kuimaintain imekaaje!
mKUU KULA TANO!!hio td5 ni 2500cc diesel engine......ni engine ndogo sana kulingana na ukubwa wa gari hivyo ni economical,very reliable,watu wanazitumia sana kuvuta matrela zina nguvu na reliable sana.......
DADANGU WEWE MCHOKOZI SASA.... yANI UNAONA KABISA JAMAA ANAULIZIA LANDROVER WEWE UNASEMA MERCEDES...if u r looking for style go for mercedes G55 ............................
ni gari moja nzuri sana kwa muonekano na umadhubuti
mi nakuangalia tu, na uchokozi wako... SHAURI YAKODe Novo nilikosea kusoma .............
nilijua kasema RANGE-ROVER nikajua pesa ya kununulia gari yenyewe si issue! mweh
De Novo nilikosea kusoma .............
nilijua kasema RANGE-ROVER nikajua pesa ya kununulia gari yenyewe si issue! mweh
Duuh wee kiboko haswa tulia kuna LR na RR, so mimi nahitaji LR