Hii system inasumbua sana na ikiharibika utasumbuka sana kutafuta tatizo lake (compressor, sensor etc). Coil springs huwa zinaisha tu na rahisi kubadilisha na ni ideally kwa barabara zetu.
Comfii kama unaendesha kwenye barabara nzuri.
Kwa upande wa mafuta, magari mengi yenye turbo yanatumia mafuta vizuri kama unaendesha chini ya 60mph-hivyo kama unaendea mikoani ni vizuri usizidi 60mph. Baada ya 60mph, turbo inaanza kufanya kazi hivyo kiwese kinatumika sana!! Hivyo = or < 60mph ukitaka TD5 isitumie mafuta sana kwenye safari ndefu-uta sevu pesa nyingi kwenye wese!!