Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba!

Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki[emoji1787][emoji56]

Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!
 
Duh!

Huyu mzee apumzike sasa!
 
Tunamuonea Karia.

Tufuatilie kabla ya kulaum.

Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.

Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
 
Mbona wenzake wote walikuwa wanakaa madarakani kwa term 2!

Kuanzia Ndolanga, Tenga wote walikuwa hawapendi hiyo fursa ya kukaa milele!

Na kama Karia siyo mroho wa madaraka, kwanini asibadilishe katiba na astaafu kama wenzake waliopita na kuheshimu misingi ya utawala bora!
 
Kugombea ni HAKI na moja ya Element ya Haki ni hiari ya kui-enjoy kwa mnufaika wa haki hiyo, so kama wao kina tenga hawakuona haja ya kuendelelea, ni haki yao pia.
 
Tunajua mifumo ya uchaguzi huru ameshaivuruga, wajumbe wa uchuguzi ameshajaza watu wake, na akikuona tu threat kwenye uchaguzi anakuchinjilia mbali, mfano Shafii dauda na baadhi wengi wameshatupiliwa nje ya mfumo!
 
Tunamuonea Karia.

Tufuatilie kabla ya kulaum.

Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.

Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
Hata kama haukuwepo huo ukomo! Je, haimtoshi kwake kutumia busara kukaa pembeni na kuwaachia wengine; baada ya kuhudumu kwenye hilo Shirikisho kwa vipindi viwili?

Kubali tu huyo jamaa ni mroho wa madaraka. Hakuna sababu nyingine.
 
Tunamuonea Karia.

Tufuatilie kabla ya kulaum.

Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.

Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
Sasa unakataa nini mkuu?
 
atoke kasha ongoza vya kutosha
 
Back
Top Bottom