Duh!Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba!
Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki[emoji1787][emoji56]
Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!
Mbona wenzake wote walikuwa wanakaa madarakani kwa term 2!Tunamuonea Karia.
Tufuatilie kabla ya kulaum.
Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.
Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
Kugombea ni HAKI na moja ya Element ya Haki ni hiari ya kui-enjoy kwa mnufaika wa haki hiyo, so kama wao kina tenga hawakuona haja ya kuendelelea, ni haki yao pia.Mbona wenzake wote walikuwa wanakaa madarakani kwa term 2!
Kuanzia Ndolanga, Tenga wote walikuwa hawapendi hiyo fursa ya kukaa milele!
Na kama Karia siyo mroho wa madaraka, kwanini asibadilishe katiba na astaafu kama wenzake waliopita na kuheshimu misingi ya utawala bora!
Tunajua mifumo ya uchaguzi huru ameshaivuruga, wajumbe wa uchuguzi ameshajaza watu wake, na akikuona tu threat kwenye uchaguzi anakuchinjilia mbali, mfano Shafii dauda na baadhi wengi wameshatupiliwa nje ya mfumo!Kugombea ni HAKI na moja ya Element ya Haki ni hiari ya kui-enjoy kwa mnufaika wa haki hiyo, so kama wao kina tenga hawakuona haja ya kuendelelea, ni haki yao pia.
Hata kama haukuwepo huo ukomo! Je, haimtoshi kwake kutumia busara kukaa pembeni na kuwaachia wengine; baada ya kuhudumu kwenye hilo Shirikisho kwa vipindi viwili?Tunamuonea Karia.
Tufuatilie kabla ya kulaum.
Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.
Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
Ina maana watu wanafukua choo!?Huyu upinde chenga sana
Sasa unakataa nini mkuu?Tunamuonea Karia.
Tufuatilie kabla ya kulaum.
Ninavyojua mim kabla ya hayo mabadiliko ilikuwa hakuna kikomo kwenye uongozi wa soka. Hata FIFA Ukomo haukuwepo ndio maana Sepp Blater alikaa Sana.
Baadae FIFA wakaweka Ukomo na TFF nayo ikafanyia mabadiliko katiba yake ili kuwepo Ukomo.
Tunataza watu wenye mitazamo mipya siyo hawa wazee!haya madaraka haya
sasa umepewa nafasi una anza badiri vifungu ili ubaki hapo milele
hutaki wengine waingie huyu bwana atolewe hata kwa lazima
[emoji1787][emoji1787]Huyu upinde chenga sana
atoke kasha ongoza vya kutoshaTunamuonea Karia.