Its very sad indeed. Huo ndio ukweli wa mateso wanayokumbana ndugu zetu hawa waliozaliwa wanaume ila hormones ni za kike. Kosa la Gwen ni expression of who she is even if was born he.
Angalau Gwen amejiexpress, mamia kwa maelfu ya watu wa aina ya Gwen, they live in agony of hiding their real self to avoid public ridicule. Bado wengi wetu wanaamini its the choice ndio maana wanawacheka na kufikia kiwango kama cha yaliyomkuta Gwen. Bado jamii zetu zinaukosefu mkubwa wa uelewa hali za watu wa namna hii na lack of differential tolerence ndio imepelekea kifo cha Gwen, hali ambayo ipo kwenye jamii yetu mpaka leo.
Tubadilike kwa kuwakubali akina Gwen wetu na tuwape uhuru wa kuchagua kuishi kwa jinsi walivyoumbwa na ionekane ni jambo la kawaida.