Very Sad: Jinsi Familia yote ya Luther Vandross ilivyotoweka

Ethical ninja ni dhahiri kuwa jamaa alikuwa na hisia sana coz alimpoteza baba yake akiwa bado mdogo anaposema"sometime I listen outside her door"picha inakuja jinsi mama yake alivyo kuwa anamlilia baba yake Luther.
 
very sad alafu hawajaishi umri mrefu yani dah
Nakumbuka wimbo wake jina limenitoka kidogo it is something like 'take you out tonight'.

R.I.P THE WHOLE FAMILY OF VANDROSS.



Aisee hii track ya TAKE YOU OUT..........ya LUTHER VANDROSS niling'oleaga mtoto wa kishua mwaka 2004 kipindi nipo form two AZANIA........maaana mtoto wa watu mashairi yalimchoma hadi akanipa fursa........aisee watu wanajua kutengeneza muziki wenye vitamini........daaah.......thankx LUTHER love you so much.......you will always be my favourite and best singer of all time........!
 
Yes Sir,Luther hakuwa na Mtoto,Except Lawrence(Larry) mtoto wake Lawrence Jr naye amevuta kwa kisukari.

Unamaanisha generation ya upande wa baba ake luther imeshaisha yote?
 
wanasema eti kuna familia huwa zina curse,

familia ya bruce lee, familia na ukoo wa kenedy e.t.c
 
Huyu jamaa huwa namkubali sana... Nasikitika tu jinsi family yake ilivyotoweka...

Dah... So sad, hivi hakuna hata aliyebaki kuendeleza ukoo???

Kaka zake hawakuwa na watoto pia???
 
Ila mama yao ! what a chic!RIP the lovely family!
 
Nikikumbuka kibao cha dancing with my father!pana maneno yanaleta hisia mule.

dancing with my father na secret love ndio vibao vinavyonikosha sana vya luther bt its so sad ....
 
Jamaa alikuwa punga, alisema anachukia hata wahudumu wa kike, maisha yake yote alikuwa anahudumiwa na wanaume tu, sasa sijui huko huko ndo alikuwa anachagua wa kumnyorosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…