Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation


Kwahiyo, kule nchi zilizoendelea ambako hawaogopi riot police au kukamatwa na police kuna political instability?
 
Ngoja tusubiri,inawezekana ipo mipango ya chini kwa chini kama ile ya Magufuli.Time will tell.
 
Hata kama wananchi wakiamua kuleta machafuko ya siasa, hayo machafuko hayawezi kuleta mabadiliko yoyote au kufika popote bila msaada wa nchi nyingine. Nchi gani za jirani au mataifa makubwa ambayo yako tayari kusaidia kuleta machafuko ya siasa Tanzania? Siyo kitu rahisi kufanyika.
 
unadhani nchi ni Kama ,familia au ka taasisi unaweza ukakatabilia kile unachowaza akilini mwako.sahau mkuu ,usichukulie kizembe kitu inayoitwa dola. Kama Sera za kiinterijensia zinaruhusu kupoteza kumi,kuokoa laki au million!!!
 
Uache kuhangaika na hatama ya watoto wako ubakie kumuandamania Mbowe na magaidi wenzake? [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Halafu gaidi mbowe acount yake imenona hatari, Hawa wengine wanashindwa kujihurumia wao kula yao ya shida wanamhurumia mbowe eti [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wajinga wanafikiria yatokee mambo kama ya South Africa ili wavamie maduka mlimani city wakaibe. Sahauni pumbavu nyie.
Fanyeni kazi.
 
Mkuu kwa nchi yetu sahau hilo! Tuko nchi ya Amani na Uvumilivu siyo Amani na Vurugu.
Watanzania hatujazoea.
 
Njozi hii imewajia wengi hata Mimi niliiiona Tanzania ya kesho na ishara zake,
Tizana atakuja mfalme nae atatawala wakati na sehemu ya wakati nae atatwaliwa na Alie chini yake atatawala nchi.
Baada ya wakati nao wana wa nchi watachagua mfalme mpya asiyetarajiwa nae atafuta machozi na misiba ndani ya mioyo ya Wana wa nchi.
Ni njozi tu jamani nasasa nimeamka kazi iendelee😆😆😆
 
Korosho au koroshow
Zimewafanya ninini

Ukorofiiiii huooo

Bei ya chin sasa 2070.

Tutalia san na mwak huu
Labda huko Dar kwenu huku Nanjilinji kwetu watu wako busy na korosho
 
Kila mtu ni kichaa ukichaa wake humfikia akiwa amekasirika sana 'every body is mad,the degree of madness is measured when angry'
 
Mungu anatupenda sana watanzania, kuna jambo alitaka kulisimamisha mwendelezo wake kwa njia za asili lakini aliyerithi utawala ameshindwa kuliona.Baada ya nguvu za asili kuingilia kati tabaka lote lililokuwa linaamini katika matumizi ya nguvu lilipashwa kuachwa lakini limerithiwa na sasa linaanzakutengeneza mfumo ndani ya mfumo mpya, hili ni janga.
 
Wananchi hao waliochoka walikuwa wapi miaka yote? Au unazungumzia Tanzania ya ndotoni?
hii mijamaa ipelekwe ika ponde mawe Maweni Tanga, naona maubongo yao hawa nazichadema, fungus zimeongezeka. mijitu mizima ovyoooo
 
Hayo ni mawazo ukiwa chooni unahangaika kutoa kimba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…