<br />Muda uliopoteza kutuma post ungeutumia ku - visit google.com ungekuwa ushapata bingo la kutosha. Acha uvivu tumia muda wako kusoma. Ndo nyinyi mkipata kazi kutwa kuwapigia simu walimu wenu kutakujua hili au lile. Tukiwaambia msome kuelewa nyie mnasoma kupata GPA tu. Sasa unaona hilo balaa la interview?
Kazi kwako jaribu hiyo bwana upitie piteCustomer service strategy